The Grand Mufti's Office of Zanzibar

Dira, Dhamira na Lengo

Dira.

Kuwa Taasisi inayoaminika na kuheshimika katika utoaji wa Miongozo ya kitaifa ya Kiislamu.

Dhamira

Kuimarisha Uadilifu, Ubora na Ufanisi katika Utoaji wa Fatwa, Utatuzi wa Migogoro na Usimamizi wa Masuala ya Kiislamu.

Lengo.

Lengo kuu la kuanzishwa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar ni kutoa Fatwa, Miongozo ya Kidini na kusimamia masuala yote ya kiislamu kwa mujibu wa sheria ya Mufti namba 9 ya mwaka 2001.